Search

166 results for Aisha Mbuma :

  1. USM Alger yagoma kuingiza timu uwanjani

    Bingwa mtetezi wa Kombe la Shirikisho Afrika, USM Alger ya Algeria imegoma kuingiza timu kwenye Uwanja wa Berkane Municipal kwa ajili ya mchezo wa nusu fainali ya pili ya michuano hiyo dhidi ya...

  2. Yanga yafungiwa kusajili

    Shirikisho la Soka Tanzania TFF limeifungia klabu ya Yanga kusajili wachezaji kwa kosa la kukiuka kanuni za Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA). Taarifa hiyo imetolewa na Ofisa...

  3. Gamondi amuanzisha Guede badala ya Mzize

    KOCHA wa Yanga Miguel Gamondi, ameanza na asilimia kubwa ya wachezaji waliocheza mchezo wa kwanza wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Mamelodi, isipokuwa Clement Mzize...

  4. USM Alger yachapwa Nigeria CAFCC

    Bingwa mtetezi wa Kombe la Shirikisho Afrika, USM Alger amepokea kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa Rivers United kawenye Uwanja wa Kimataifa wa Godswill Akpabio, Nigeria. Bao la Augustine Okejepha...

  5. Yanga kama Mamelodi Sundowns tu

    Yanga na Mamelodi Sundowns zimejikuta zimeangukia kwenye mtego mmoja licha ya zote mbili kuwa tayari zimeshajihakikishia kutinga robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu. Mtego ambao...

  6. Yanga yavuna Sh2.3 bilioni CAF

    Yanga imejihakikishia kuvuna Dola 900,000 (zaidi ya Sh2.3 bilioni) kwa kutinga robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika jana Februari 23, 2024. Mabingwa hao wa Tanzania wamefuzu hatua hiyo baada ya...

  7. Rais Samia aipa 5 Yanga kufuzu robo fainali CAF

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameipongeza Yanga SC kwa kuifunga CR Belouizdad ya Algeria na kutinga robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika. Yanga ilitinga katika hatua hiyo Jumamosi...

  8. Yanga yaandika historia CAFCL, Pacome aiteka shoo

    Baada ya kufuta gundu la miaka 25 kutinga hatua ya makundi, Yanga imeweka historia leo baada ya kufuzu hatua ya robo fainali kwa mara ya kwanza. Yanga imetinga hatua hiyo baada ya ushindi wa...

  9. Vurugu Maseke, Elias chanzo ni hiki

    Kipa wa KMC, Wilbol Maseke ameomba radhi kutokana na ugomvi wake dhidi ya kiungo wa timu hiyo, Ibrahim Elias kwenye mchezo dhidi ya Yanga, jana Jumamosi Februari 17 kwenye Uwanja wa Jamhuri...

  10. Afcon ilivyoondoka na utamu wake

    Wenyeji wa Fainali za Afcon 2023, Ivory Coast wametwaa taji la michuano hiyo mikubwa Afrika baada ya kuifunga Nigeria mabao 2-1 kwenye mchezo wa fainali uliopigwa kwenye Uwanja wa Alassane...

Page 1 of 17

Next